Niyonzima apongezwa kwa kiwango bora

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Mar 2019
Niyonzima apongezwa kwa kiwango bora

Kiungo Haruna Niyonzima leo amezikonga nyoyo za mashabiki wa Simba baada ya kuupiga mpira mwingi kwenye mchezo dhidi ya AS Vita Club

Niyonzima aliingia katika dakika ya 58 kuchukua nafasi ya Emmanuel Okwi ambapo kuingia kwake kuliiongezea makali Simba iliyokuwa ikisaka bao la ushindi kwa 'udi na uvumba'

Niyonzima alihusika katika kupatikana kwa bao la pili lililowekwa kambani na Clatous Chama 'Mwamba wa Lusaka' baada ya 'kuwapoteza maboya' mabeki waliofiki angeunganisha krosi ya Bocco lakini akaupisha mpira kumuachia Chama aliyekuwa katika nafasi nzuri zaidi ya kufunga

Kwa ujumla wachezaji wote wa Simba wanastahili pongezi za dhati kwa kazi kubwa waliyofanya leo kuhakikisha wanaipeleka Simba robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa

Niyonzima amepongezwa zaidi kutokana na juhudi kubwa alizoonyesha tangu kuimgia kwake mpaka kupelekea Simba kuibuka na ushindi

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
3h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
5h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
6h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
12h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’