Huyu ndio Chama, mwamba wa Lusaka

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Mar 2019
Huyu ndio Chama, mwamba wa Lusaka

Kiungo Clatous Chama amewanyamazisha waliokuwa wameanza 'kuchonga' kuwa kwa siku za karibuni amekuwa hana msaada kwa Simba hasa katika michuano ya ligi ya mabingwa baada ya leo kufunga bao lililoipeleka Simba robo fainali ya michuano hiyo

Kwa wasiomfahamu vizuri Chama, mwaka 2016 alikuwa katika kikosi cha ZESCO kilichotinga nusu fainali ya michuano hii yeye akiibuka kinara wa upachikaji mabao katika kikosi hicho kilichokuwa kikinolewa na George Lwandamina

Kwa mara nyingine uzoefu wake umeinufaisha Simba kwenda hatua inayofuata akifanya hivyo pia wakati Simba ilipochuana na Nkana Fc na kushinda mabao 3-1 kujihakikishia nafasi ya kutinga hatua ya makundi

Chama atabaki mioyoni mwa mashabiki wa Simba kwa miaka mingi kwani mabao yake aliyofunga katika michezo miwili muhimu yatabaki katika kumbukumbu za klabu ya Simba

 

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’