Kiraka Erasto Nyoni ameitwa katika kikosi cha timu ya Taifa kitakachoikabili Uganda kwenye mchezo wa kusaka tiketi ya kufuzu fainali za AFCON 2019
Nyoni ameitwa kuchukua nafasi ya Andrew Vicent 'Dante' ambaye ni majeruhi
Nyoni amerejea katika kikosi cha Simba hivi karibuni baada ya kupona majeraha
Leo anatarajiwa kuwa sehemu ya wachezaji 11 wa Simba watakaoikabili Vita Club kwenye mchezo ligi ya mabingwa barani Afrika
ADVERTISE HERE