Do or Die uwanja wa Taifa leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
16 Mar 2019
Do or Die uwanja wa Taifa leo

Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo watakuwa uwanja wa Taifa kuikabili AS Vita Club katika mchezo wa ligi ya mabingwa kukamilisha hatua ya makundi

Kikosi cha Simba kinahitaji ushindi ili kutinga robo fainali ya michuano hiyo mikubwa zaidi barani Afrika kwa ngazi ya vilabu

Jana jioni Simba ilifanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa Taifa, wachezaji wakiwa na ari kubwa kuelekea mchezo huo

Silaha kubwa ya Simba leo ni mashabiki wake ambao wanatarajiwa kuujaza uwanja wa Taifa

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema vijana wake wako tayari kwa mapambano. Wachezaji wameapa kuendeleza wimbi la ushindi katika dimba lao la nyumbani

Kwani msimu huu hakuna timu iliyotoka salama 'machinjioni' kwenye uwanja wa Taifa katika michuano ya ligi ya mabingwa

Mchezo huo utaanza saa moja usiku ukipigwa sambamba na mchezo mwingine wa kundi D kati ya Al Ahly dhidi ya JS Saoura

Kila la kheri Wekundu wa Msimbazi, ushindi ni jadi yetu

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’