Aussems ataja sababu ya Juuko kuikosa AS Vita

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
15 Mar 2019
Aussems ataja sababu ya Juuko kuikosa AS Vita

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema beki wa Kimataifa wa Uganda Juuko Murshidi hatakuwa sehemu ya kikosi cha timu hiyo kitakachoikabili AS Vita Club kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa utakaopigwa katika dimba la Taifa kesho.

Aussems amesema Juuko alipata majeraha na atahitaji kupumzika zaidi ili aweze kuwa sawa kabla ya kuanza kumtumia

"Juuko alipata majeraha, anahitaji kupumzika mpaka Jumatatu. Hivyo hakuna uwezekano wa kumtumia katika mchezo huo wa kesho," amesema Aussems

Hata hivyo Aussems amethibitisha kuwa kiraka Erasto Nyoni yuko fit kuelekea mchezo huo

"Nyoni alianza mazoezi wiki iliyopita. Hatukusafiri nae kwenda Algeria ili kumpa muda zaidi wa kufanya mazoezi ili aweze kuwa fit"

"Tumefanya nae mazoezi siku hizi mbili, bila shaka atakuwepo Jumamosi"

Nyoni na Okwi walijiunga katika mazoezi ya kikosi cha Simba juzi ambapo wanatarajiwa kujumuishwa katika kikosi kitakachoikabili AS Vita

Kiungo Jonas Mkude ataukosa mchezo huo akitumikia adhabu ya kadi mbili za njano

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’