Nyoni awaita mashabiki uwanja wa Taifa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
14 Mar 2019
Nyoni awaita mashabiki uwanja wa Taifa

Kiraka Erasto Nyoni amewataka mashabiki wa Simba kujitokeza kwa wingi uwanja wa Taifa keshokutwa katika mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya AS Vita Club

Nyoni aliyerejea kikamilifu baada ya kupona majeraha, amesema upande wao wachezaji wanajifua kikamilifu ili kuhakikisha wanashinda mchezo huo

"Mchezo huu ni fainali kwetu, tunahitaji kushinda ili tuweze kutinga robo fainali. Mawazo yetu yote yako katika mchezo huo," amesema

"Tunahitaji sana sapoti ya mashabiki wetu. Tunajua wakija kwa wingi wataongeza hamasa kwetu na kutuongezea ari ya kupambana"

Kikosi cha Simba chini ya kocha Patrick Aussems na Msaidizi wake Denis Kitambi leo kimejifua kwenye uwanja wa Taifa ikiwa ni maandalizi yake ya mwisho kwenye uwanja huo kabla ya mchezo keshokutwa

Wapinzani wao AS Vital Club waliwasili jijini Dar es salaam jana ambapo leo wamefanya mazoezi katika viwanja vya Ghymkhana

Timu hiyo itajifua kwenye uwanja wa Taifa kesho

Β 

Β 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
46m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’