Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais - Mazingira na Muungano, Mhe. January Makamba atakuwa mgeni rasmi wa mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika kati ya Simba dhidi ya AS Vita Club
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Jumamosi, March 16 katika uwanja wa Taifa
Makamba ambaye ni Mwanachama na mdau wa klabu ya Simba, atawaongoza maelfu ya Watanzania katika mchezo huo ambao ushindi ndio matokeo pekee yanayohitajika kuipeleka Simba hatua ya robo fainali
ADVERTISE HERE