Leo ni siku ya kipekee kwa beki wa Simba Paul Bukaba ambaye ni kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Bukaba ni beki anayetabiriwa kuja kuwa nguzo ya Simba na timu ya Taifa ya Tanzania siku zijazo
Msimu huu amekuwa akipata nafasi mara kwa mara katika kikosi cha Simba ambapo kocha Patrick Aussems humtumia pale anapowakosa walinzi wake chaguo la kwanza
Tunamtakia kheri katika siku hii muhimu kwake
HAPPY BIRTHDAY PAUL BUKABA
ADVERTISE HERE