Mechi nne zilizobaki ni mtego kwa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Dec 2017
Mechi nne zilizobaki ni mtego kwa Simba
Ligi kuu ya Vodacom inatarajiwa kuendelea baada ya michuano ya kombe la Chalenji kumalizika nchini Kenya.

Michuano hiyo ambayo Tanzania Bara na Zanzibar zinashiriki, itaanza keshokutwa Disemba 03 na kumalizika Disemba 17.

Michezo minne ya ligi kuu ya Vodacom itapigwa baada ya Disemba 17 huku Simba ikiwa na mtego kukamilisha michezo hiyo na matokeo mazuri.

Ni hivi, Simba itacheza michezo miwili nyumbani, miwili mingine ugenini.

Itaanza kwa kusafiri mkoani Mtwara kuivaa Ndanda FC kisha itarejea jijini Dar es salaam kuivaa Singida United.

Halafu itasafiri tena kwenda mkoani Kagera kuivaa Kagera Sugar kisha itarudi Dar kuivaa Majimaji.

Kama ratiba ya michezo hiyo itakuwa karibu karibu inaweza kuathiri matarajio ya kikosi cha Simba kupata alama nyingi kadiri inavyowezekana.

Muhimu viongozi wakaliangalia hilo kwa makini.

Hali ni tofauti kwa Yanga ambayo itacheza mchezo mmoja mkoani dhidi ya Mbao FC kisha kumalizia michezo yake yote mitatu jijini Dar es salaam.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
6h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
12h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
15h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
19h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
19h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’