Simba yarejea kutoka Algeria

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Mar 2019
Simba yarejea kutoka Algeria

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimewasili jioni ya leo Jumanne kutoka nchini Algeria kuikabili JS Saoura kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa

Baada ya kuwasili, kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema wachezaji wake wanahitaji kupumzika ili kutoa uchovu kabla ya kuanza kujiandaa na mchezo dhidi ya AS Vita

Awali Simba ilitarajiwa kuingia kambini leo lakini sasa huenda ikaingia kambini siku ya kesho Jumatano kuanza maandalizi ya mchezo dhidi ya As Vita utakaopigwa Jumamosi, March 16 2019, saa moja jioni

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
3h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
9h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
12h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
15h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’