Tukutane uwanja wa Taifa Jumamosi - Mo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Mar 2019
Tukutane uwanja wa Taifa Jumamosi - Mo

Mwekezaji wa klabu ya Simba Bilionea Mohammed Dewji 'Mo' amewataka mashabiki wa timu hiyo na Watanzania wote kujitokeza kwa wingi kwenye uwanja wa Taifa Jumamosi ijayo wataki Simba itakapochuana na Vita Club

Kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Instagram, Mo amesema kwa sasa hapendi kuzungumza maneno mengi lakini anawaita uwanja wa Taifa mashabiki wa Simba Watanzania wote kuiunga mkono Simba katika mchezo huo muhimu

"Sina maneno mengi, tukutane uwanjani wanaSimba na waTanzania wote kwa ujumla," ameandika Mo

Katika michezo yote msimu huu ambayo Mo yuko uwanjani, Simba imeibuka na ushindi.

Licha ya kuwa mwekezaji, Mo amejipambanua kuwa shabiki na muhamasishaji namba moja wa klabu ya Simba kuelekea 'gema' kubwa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
30m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’