Vita Club kuwasili Jumatano

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Mar 2019
Vita Club kuwasili Jumatano

Wapinzani wa Simba, AS Vita Club wanatarajiwa kuwasili kesho Jumatano mchana tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa baina ya timu hizo utakaopigwa Jumamosi, saa moja jioni kwenye uwanja wa Taifa

Simba tayari imeondoka nchini Algeria ilikokwenda kucheza na JS Saoura. Iliwasili Dubai jana usiku, na leo itaondoka kurejea nchini

Msafara wa Simba unatarajiwa kuwasili nchini leo saa tisa Alasiri

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema kikosi cha timu hiyo kitaelekea moja kwa moja kambini baada ya kuwasili baadae leo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’