Msafara wa Simba walala Dubai, kurejea nchini leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
12 Mar 2019
Msafara wa Simba walala Dubai, kurejea nchini leo

Msafara wa kikosi cha Simba uliondoka mapema jana nchini Algeria, uliwasili salama Dubai ambapo wamelala hapo na leo Jumanne asubuhi wataunganisha Ndege ya kurejea nchini

Taarifa iliyotolewa na Simba imesema msafara huo unaongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF Ahmed Mgoyi ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Mashindano

"Msafara wa wachezaji, benchi la ufundi, baadhi ya viongozi wa klabu ukiongozwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya TFF ambaye pia ni Mwenyekiti Kamati ya Mashindano, Ahmed Mgoyi umefika salama Dubai," ilisema taarifa ya Simba

"Leo usiku (jana) watalala kwenye Hoteli ya Kimataifa ya Dubai na asubuhi wataendelea na safari ya kurejea nyumbani Tanzania"

SImba inarejea nchini kukamilisha hatua ya makundi ya michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika ambapo Jumamosi, March 16 itashuka kwenye uwanja wa Taifa kuikabili As Vita Club katika mchezo ambao ushindi utaipeleka Simba hatua ya robo fainali

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8m ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
3h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
5h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
9h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
21h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’