Msafara wa kikosi cha Simba umeondoka Algeria kurejea nchini kujiandaa na mchezo wa mwisho wa ligi ya mabingwa hatua ya makundi dhidi ya AS Vita Club
Mchezo huo utapigwa Jumamosi, March 16 kwenye uwanja wa Taifa saa moja jioni
Kulingana na taarifa iliyotolewa na uongozi wa Simba mapema leo, msafara utapitia Dubai ambako wataunganisha Ndege ya kuja moja kwa moja nchini
ADVERTISE HERE