Aveva, Kaburu waendelea kusota rumande

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
1 Dec 2017
Aveva, Kaburu waendelea kusota rumande
Upelelezi wa kesi inayowakabili vigogo wa Simba akiwemo Rais wake, Evans Aveva bado haujakamilika kesi imeahirishwa hadi Desemba 14, 2017.

Kesi inasikilizwa na Hakimu Mkazi Mwandamizi Victoria Nongwa. bali na Aveva, mshtakiwa mwingine ni makamu wa rais wa klabu hiyo,Geofrey Nyange Γ’β‚¬ΛœKaburuÒ€ℒ, ambao wanakabiliwa na kesi ya uhujumu uchumi ikiwa na mashitaka matano.

Washtakiwa hao wanakabiliwa na mashitaka ya kughushi, kuwasilisha nyaraka ya uongo na kutakatisha wa Dola za Marekani 300,000.

Kwa upande wa kesi inayowakabili vigogo watatu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), akiwemo aliyekuwa rais wake, Jamal Malinzi nayo imeahirishwa hadi Desemba 14,2017 kwa sababu upelelezi bado haujakamilika.

Kesi inasikilizwa na Hakimu Mkazi Mkuu, Wilbard Mashauri katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Washitakiwa wengine ni aliyekuwa Katibu Mkuu wa TFF, Mwesigwa Celestine na Mhasibu, Nsiande Mwanga.

MCL
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’