Okwi mchezaji bora wa mwezi Simba

Shabiki Waukweli By Shabiki Waukweli
β€’
22 Sep 2017
Okwi mchezaji bora wa mwezi Simba
Mshambuliaji wa Simba kinara wa upachikaji mabao ligi kuu ya Vodacom, Emanuel Okwi amechaguliwa kuwa mchezaji bora wa mwezi wa nane.

Tuzo hiyo ambayo kwa mara ya kwanza inatolewa na App ya Simba, imekwenda Okwi ambaye alitwaa tuzo ya mchezaji bora wa ligi mwezi uliopita na kujinyakulia kitita cha Tsh Milioni moja.

Okwi ameanza vyema msimu msimu huu ambapo mpaka sasa ameifungia Simba mabao sita na kuongoza orodha ya wapachika mabao katika ligi.

Mabao manne aliyafunga katika mchezo dhidi ya Ruvu Shooting amapo Simba ilishinda kwa mabao 7-0 na kwenye mchezo wa pili aliocheza dhidi ya Mwadui FC akapachika mabao mawili kati ya matatu iliyofunga Simba.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’