Kiungo Said Khamis Ndemla leo ni kumukumbu ya siku yake ya kuzaliwa
Ndemla aliyekulia katika klabu ya Simba akianzia kikosi cha vijana, amekuwa na mchangu mkubwa Simba ingawa kwa sasa anakabiliwa na changamoto ya kupata nafasi katika kikosi cha kwanza cha kocha Patrick Aussems
Hivi karibuni alikwenda nchini Sweden kufanya majaribio katika moja ya vilabu vinavyoshiriki ligi kuu ambapo inaelezwa amefuzu majaribio hayo na huenda akaelekea Sweden mwishoni mwa msimu
Tunamtakia kila la kheri katika siku yake hii muhimu
HAPPY BIRTHDAY NDEMLA..!
ADVERTISE HERE