Aussems awaandaa mashabiki mchezo dhidi ya Vita Club

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
10 Mar 2019
Aussems awaandaa mashabiki mchezo dhidi ya Vita Club

Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema mchezo wa Jumamosi ijayo dhidi ya As Vita Club ni mchezo wa fainali kwao hivvyo amewataka mashabiki wa timu hiyo kujiandaa kujitokeza kwa wingi kushuhudia mchezo huo ambao utakuwa wa kihistoria

Baada ya kupoteza mchezo wa jana dhidi ya JS Saoura, Aussems amesema Simba ina kila sababu ya kushinda mchezo dhidi ya Vita Club hasa ikizingatiwa itakuwa ikicheza katika uwanja wake wa nyumbani

"Tuna nafasi nzuri ya kuingia robo fainali, tunahitaji kuwafunga Vita Jumamosi. Tunayo kila sababu ya kushinda mchezo huo, mashabiki wetu waje kutuunga mkono katika siku hiyo ya kihistoria," amesema Aussems

Mchezo dhidi ya Vita Club umepangwa kupigwa Jumamosi, March 16 2019 kwenye dimba la Taifa muda ukiwa saa moja jioni

Kikosi cha Simba bado kipo nchini Algeria ambapo leo wachezaji walifanya mazoezi maalum ya kuweka miili sawa baada ya mchezo wa jana

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’