Kila la kheri wekundu wa Msimbazi

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
9 Mar 2019
Kila la kheri wekundu wa Msimbazi

Kikosi cha Simba kiko tayari kwa mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Saoura utakaopigwa leo saa nne usiku kwenye uwanja Agosti 20 huko Algeria

Simba ilitua katika mji wa Bechar jana na kufanya mazoezi ya mwisho tayari kwa mchezo huo muhimu kwa wawakilishi hao wa Tanzania

Mchana wa leo, wachezaji walipata chakula cha mchana pamoja na viongozi ambapo wachezaji wameendelea kuimarishwa kisaikolojia kupambana ili kupata matokeo mazuri kwenye mchezo huo

Simba inahitaji ushindi au hata matokeo ya sare ili kujiweka katika nafasi nzuri ya kutinga robo fainali

Watanzania wote, mashabiki na wasio mashabiki wa Simba wameaswa kuiombea timu ili iweze kufanya vizuri kwenye mchezo wa leo kwani mafanikio ya Simba huko Algeria ni mafanikio ya Tanzania

 

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’