Uongozi wa klabu ya Simba umetuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha aliyekuwa Mjumbe wa Kamati ya Utendaji wa klabu hiyo kuanzia mwaka 2010 mpaka mwaka 2014, Francis Waya

ADVERTISE HERE