Simba yajifua Algeria, tayari kuikabili JS Saoura

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
8 Mar 2019
Simba yajifua Algeria, tayari kuikabili JS Saoura

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kimeendelea na mazoezi nchini Algeria kujiandaa na mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Saoura utakaopigwa kesho Jumamosi

Nahodha wa Simba John Bocco amesema wanashukuru wachezaji wote wako katika hali nzuri na hali ya hewa sio ya baridi kali kinyume na walivyotarajia

Amesema kwa maandalizi wanaoyoendelea kufanya, anaamini wataweza kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wa kesho

Mchezo unatarajiwa kupigwa saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
54m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
4h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
18h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
20h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
22h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
23h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
2d ago
READ MORE β†’