Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kiliwasili salama nchini Algeria tayari kuwakabili JS Saoura katika mchezo wa ligi ya mabingwa utakaopigwa keshokutwa Jumamosi, March 09 2019
Baada ya kuwasili nchini humo, usiku wa kuamkia leo wachezaji walianza mazoezi kujiandaa na mchezo huo




ADVERTISE HERE