Kinara wa mabao ligi kuu ya Vodacom Emanuel Okwi anatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam wikiendi hii tayari kuanza mazoezi Jumatatu.
Okwi amekuwa nje ya uwanja kwa wiki tatu akikabiliwa na majeraha aliyoyapata wakati akiitumikia timu ya Taifa ya Uganda.
Imeelezwa Okwi afya yake imeimarika na ameruhusiwa kuanza mazoezi katika kikosi cha Simba

ADVERTISE HERE