Kapombe kufanyiwa vipimo vya mwisho Afrika Kusini

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Mar 2019
Kapombe kufanyiwa vipimo vya mwisho Afrika Kusini

Beki mahiri wa Simba Shomari Kapombe anatarajiwa kurejea nchini Afrika Kusini kufanyiwa vipimo kubaini mwenendo wa jeraha lake kabla ya kuruhusiwa kuanza mazoezi

Kapombe amekuwa nje ya kikosi cha Simba kwa miezi mitano akiuguza jeraha alilopata Afrika Kusini wakati akiwa kwenye kambi ya timu ya Taifa

Uongozi wa Simba umesema mchezaji huyo aliyekuwa akiendelea na program za matibabu hapa nchini, atarudi Afrika Kusini kwa ajili ya vipimo hivyo

"Shomari Kapombe anatarajiwa kurejea Afrika Kusini wiki hii kwa ajili ya vipimo vya mwisho kabla ya kuruhusiwa kuanza mazoezi mepesi," imesema taarifa ya Simba iliyotolewa mapema leo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
9h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
10h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
13h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
15h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
18h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’