Simba kupitia Dubai, kuondoka jioni

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Mar 2019
Simba kupitia Dubai, kuondoka jioni

Kikosi cha Simba kitaondoka leo jioni kuelekea nchini Algeria kuikabili JS Saoura kwenye mchezo wa ligi ya mabingwa utakaopigwa Jumamosi ya wiki hii

Simba itapitia Falme za Kiarabu (UAE).

Taarifa iliyotolewa mapema leo na uongozi wa klabu ya Simba imewataka wanachama na mashabiki wa klabu hiyo kuwaombea ili waweze kufika salama na kupata matokeo mazuri katika mchezo huo

"Leo jioni kikosi kitaondoka kuelekea nchini Algeria kwa kupitia Dubai, UAE ambako kitacheza mchezo wa tano wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya JS Saoura," imesema taarifa ya Simba

"Mchezo huo utachezwa siku ya Jumamosi Machi 9, 2019. Tuikumbuke timu yetu kwenye dua ili ifike salama na ifanye vizuri katika mchezo huo muhimu"

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
2h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
4h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
8h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
20h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’