Simba kuifuata JS Saoura leo

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
5 Mar 2019
Simba kuifuata JS Saoura leo

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kinatarajiwa kuondoka nchini leo kwenda Algeria kwa ajili ya mchezo wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Saoura utakaopigwa Jumamosi, March 09

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara amesema msafara utakao-ondoka baadae leo Jumanne, utajumuisha wachezaji 20

Manara amesema mshambuliaji Emmanuel Okwi aliyekosa mchezo dhidi ya Stand United kutokana na majaeraha, amejumuishwa katika kikosi hicho kinachokwenda kusala alama tatu nchini Algeria

Manara amesema Simba inakwenda Algeria ikiwa na ari ya kufanya vizuri kwenye mchezo huo ili kupeperusha vyema bendera ya Tanzania

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
27m ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
4h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
16h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
22h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’