Kuelekea mchezo dhidi ya JS Saoura, Kagere ataka sapoti ya mashabiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Mar 2019
Kuelekea mchezo dhidi ya JS Saoura, Kagere ataka sapoti ya mashabiki

Mshambuliaji wa Simba kinara wa mabao Meddie Kagere amewataka mashabiki wote wa mabingwa hao wa Tanzania Bara kuungana kuipa sapoti timu wakati huu inaokabiliwa na mchezo muhimu wa ligi ya mabingwa dhidi ya JS Saoura

Kagere amewataka mashabiki kuiombea na kuiunga mkono timu kwa hali na mali ili kuhakikisha inatinga robo fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa

"Nawaambia wote wenye mapenzi mema na Simba, wale wanaoamini kuwa tunaweza kutinga robo fainali, nusu fainali na hata fainali ya michuano ya ligi ya mabingwa, waungane nasi kwa kutuombea ili tuweze kufanikiwa," amesema Kagera katika ujumbe mfupi alioutuma kwa mashabiki wa Simba

Simba inatarajiwa kwenda Algeria siku chache zijazo tayari kwa mchezo huo dhidi ya JS Saoura utakaopigwa Jumamosi, March 09

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
23m ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
3h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
7h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
19h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’