Wawa habagui 'pacha wake' safu ya ulinzi Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
4 Mar 2019
Wawa habagui 'pacha wake' safu ya ulinzi Simba

Beki Paschal Serge Wawa ndiye aliyecheza michezo mingi zaidi katika kikosi cha Simba msimu huu ambapo kwa nyakati tofauti amecheza na walinzi tofauti

Baada ya kuumia Erasto Nyoni ambaye alikuwa 'pacha wake', katika michezo ya hivi karibuni Wawa amekuwa akicheza sambamba na Juuko Murshidi, Paul Bukaba au Yusufu Mlipili

Wawa amefichua kuwa huwa hana tatizo anapopangwa na walinzi hao vijana huku akibainisha kuwa anaamini uzoefu wake umekuwa ukiwaimarisha zaidi

"Mimi sichagui na huwa sina tatizo ninapopangwa na yeyote kati ya Bukaba, Juuko au Mlipili. Ninashirikiana nao vizuri na naamini nao wananufaika na uzoefu nilionao," amesema

Wawa kwa sasa ndiye beki tegemeo wa kikosi cha Simba.

Uwezo wake mkubwa wa kukaba kwa akili na kuwaongoza walinzi wenzie, umeifanya safu ya ulinzi ya Simba iwe ngumu kupitika kwenye ligi

Simba imeruhusu mabao saba tu kwenye ligi mpaka sasa

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
4h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
6h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
7h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
9h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
14h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’