Simba kurejea mazoezini Jumatatu

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
30 Nov 2017
Simba kurejea mazoezini Jumatatu
Kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea mazoezini Jumatatu baada ya mapumziko ya siku saba.

Kocha Msaidizi Masudi Djuma ndiye atakayesimamia mazoezi ya kikosi hicho kitakachowakosa wachezaji waliotwa na timu za Taifa kushiriki michuano ya Chalenji inayoanza siku ya Jumapili.

Aidha kocha Joseph Omog ameondoka nchini kuelekea kwao nchini Cameroon kushughulikia matatizo ya kifamilia.

Simba itakuwa inajiandaa na mchezo utakaofuata ambapo itakuwa mgeni wa Ndanda FC kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
6h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
8h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
9h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
11h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
16h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’