Kituo kinachofuata ni Algeria

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
3 Mar 2019
Kituo kinachofuata ni Algeria

Baada ya ushindi wa leo wa mabao 2-0 dhidi ya Stand United, kikosi cha Simba kinatarajiwa kurejea jijini Dar es salaam kesho tayari kwa safari ya kuifuata JS Saoura nchini Algeria

Jumamosi ijayo, March 09 2019 Simba itacheza na JS Saoura katika mchezo wa raundi ya tano michuano ya ligi ya mabingwa barani Afrika, kundi D

Simba inayoshika nafasi ya pili ikiwa na alama sita nyuma ya Al Ahly inayoongoza kundi D ikiwa na alama saba, inahitaji kupata angalau alama moja nchini Algeria kabla ya mchezo wake wa mwisho dhidi ya Vita Club ambao utapigwa uwanja wa Taifa

Hesabu za kocha Patrick Aussems ni kuipeleka Simba hatua ya robo fainali ya michuano hiyo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
22h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’