Simba yafanya mazoezi ya mwisho CCM Kambarage

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
2 Mar 2019
Simba yafanya mazoezi ya mwisho CCM Kambarage

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba leo kimefanya mazoezi yake ya mwisho katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga tayari kwa mchezo dhidi ya Stand United

Mchezo huo utapigwa kesho Jumapili katika uwanja huo

Meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amesema wachezaji wote wako katika hali nzuri kuelekea mchezo huo

Simba iko mkoani Shinyanga tangu jana, iliwasili mkoani humo kutokea Singida ambako kikosi kiliweka kambi ya siku mbili kujiandaa na mchezo huo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
10h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
16h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
19h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
22h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
22h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
23h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’