sKikosi cha Simba tayari kimeondoka mkoani Singida kuifuata Stand United Shinyanga tayari kwa mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa keshokutwa Jumapili
Simba iliweka kambi ya siku mbili Singida kujiandaa na mchezo huo ambao wekundu wa Msimbazi watakuwa wakiwinda alama nyingine tatu ili kuendelea kuweka vyema mazingira ya kutetea ubingwa wao


ADVERTISE HERE