Kikosi cha Simba kiko mkoani Singida ambapo leo kimefanya mazoezi kwenye uwanja wa Namfua kujiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya Stand United
Mchezo huo utapigwa Jumapili mkoani Shinyanga
Simba imeweka kambi ya siku mbili mkoani Singida ambapo kesho asubuhi itaondoka kuelekea Shinyanga







ADVERTISE HERE