Simba kumaliza viporo wakati wa michuano ya vijana

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Feb 2019
Simba kumaliza viporo wakati wa michuano ya vijana

Ligi Kuu ya Tanzania Bara inatarajiwa kusimama kwa wiki mbili kuanzia April 14-28 wakati wa michuano ya AFCON 2019 ngazi ya vijana umri chini ya miaka 17 itakayofanyika nchini

Hata hivyo ratiba hiyo haitaihusu klabu ya Simba ambayo itaendelea kucheza michezo yake ya viporo  ya nje ya jiji la Dar es salaam

Mtendaji wa Bodi ya Ligi Boniface Wambura amesema michezo hiyo ya viporo itapangiwa ratiba katika siku za mapumziko na siku ambazo Serengeti Boyz haitakuwa ikicheza

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
6h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’