Tambo kumponza Bilo mchezo dhidi ya Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Feb 2019
Tambo kumponza Bilo mchezo dhidi ya Simba

Kocha Mkuu wa Stand United Athuman Bilal 'Bilo' ametamba kuwa timu yake itafanya maajabu kwa kuifunga Simba kwenye mchezo baina ya timu hizo utakaopigwa Jumapili, March 03 katika uwanja wa CCM Kambarage mkoani Shinyanga

Bilo ametamba kuwa mchezo dhidi ya Simba utakuwa wa kawadia na hauna tofauti na michezo mingine ambayo tayari wamecheza katika ligi msimu huu

Ushindi wa bao 1-0 iliyopata timu hiyo dhidi ya Yanga umemfanya kocha huyo aamini kuwa ataweza kuifunga Simba pia

Hata hivyo Simba imejipambanua kutumia dakika 90 kunyamazisha tambo za kocha huyo

Alitamba kocha wa Lipuli Fc Selemani Matola kuwa alichoshwa na sare Simba ikampa matokeo aliyoyahitaji, bila shaka Bilo nae asubiri zawadi yake Jumapili

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
3h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
4h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
6h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
10h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
22h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’