Simba 'break' zimekata yupo wa kuizuia?

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
26 Feb 2019
Simba 'break' zimekata yupo wa kuizuia?

Simba imeendeleza vipigo kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara baada ya leo kuifumua Lipuli Fc mabao 3-1 katika mchezo uliopigwa uwanja wa Samora

Tangu kuingia kwa mwaka 2019 Simba haijapoteza mchezo wowote katika ligi sasa ikishinda mchezo wa tano mfululizo

Ilianza kwa kuifumua Mwadui Fc mabao 3-0, ikafuata Yanga 1-0, African Lyon 3-0, Azam Fc 3-1 na leo Lipuli Fc 3-1

Katika michezo hiyo mitano imefunga mabao 13 na kuruhusu mabao mawili pekee

Meddie Kagere Kagere leo amefunga bao la 12 na sasa yuko nyuma kwa bao moja tu dhidi ya kinara wa upachikaji mabao Salum Aiyee ya Mwadui Fc mwenye mabao 13

Simba inahitaji kushinda mchezo mmoja zaidi ili kuipiku Azam Fc iliyo nafasi ya pili huku ikiwa na michezo sita ya viporo

Ushindi katika michezo yote hiyo utaihakikishia Simba kuongoza ligi kwa tofauti ya alama tano dhidi ya Yanga

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
8h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
10h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
11h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
13h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
17h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’