Mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba mda mchache ujao wanashuka katika dimba la Samora kuikabili Lipuli Fc katika mchezo wa ligi kuu
Tayari uwanja wa Samora umependeza, huku idadi kubwa ya mashabiki wa Simba wakijitokeza kwa wingi uwanjani
Vikosi vya timu zote viko uwanjani vikisubiri kuanza kwa mchezo huo utakaopigwa kuanzia saa kumi kamili jioni


Hali ya hewa ni ya mawingu kukiwa na uwezekano wa kunyesha mvua
ADVERTISE HERE