Simba yawakana wanaopita kuandikisha Wanachama wapya

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
25 Feb 2019
Simba yawakana wanaopita kuandikisha Wanachama wapya

TAARIFA KWA UMMA

Klabu ya Simba kwa masikitiko makubwa inapenda kutoa taarifa kwamba kumekuwa na watu wanaopita mitaani kutoa fomu za uanachama wa klabu yetu

Watu hao pia hutoa kadi za uanachama na wanayo mihuli 'feki' ya klabu ambayo huitumia kuhalalisha uovu wanaoufanya

Klabu inapenda kuutaarifa umma wa Wanasimba na Watanzania wote kwa ujumla, wanachofanya watu hao ni wizi na utapeli, kwa sasa klabu yetu imesitisha utoaji wa kadi za uanachama hadi tutakapotoa taarifa rasmi juu ya upatikanaji wa wanachama wapya hivi karibuni ambao pia watakuwa wanahisa

Ikitokea kiongozi wa klabu au mwanachama yoyote ambaye anashiriki kufanya 'ujambazi' huu itolewe taarifa kwenye kituo chochote cha Polisi kilicho karibu au klabuni Msimbazi

Imetolewa na...

Haji S. Manara

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
4h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
10h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
13h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
16h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
16h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
16h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’