Baada ya kutua mkoani Iringa jana, kikosi cha Simba kilifanya mazoezi kujiandaa na mchezo dhidi ya Lipuli Fc
Leo Simba inatarajiwa kujifua katika uwanja wa Samora ambao utatumika kwenye mchezo huo utakaopigwa kesho saa kumi kamili jioni





ADVERTISE HERE