Kikosi cha Simba kimewasili mkoani Morogoro kikiwa njiani kuelekea Iringa kuikabili Lipuli Fc katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa Jumanne, Februari 26 2019
Simba itaweka kambi ya siku moja Morogoro ambapo kesho asubuhi wachezaji wanatarajiwa kufanya mazoezi kabla ya kuendelea na safari ya kuelekea Iringa
Wachezaji 26 wa Simba wamejumuishwa kwenye msafara huo
ADVERTISE HERE