Uwanja wa Taifa, Uhuru kufungwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
21 Feb 2019
Uwanja wa Taifa, Uhuru kufungwa

Vilabu vya jijini Dar es salaam vinavyoshiriki ligi kuu vitalazimika kutafuta viwanja vya nyumbani baada ya Serikali kuwa mbioni kufunga uwanja wa Taifa na Ule wa Uhuru kwa ajili ya matengenezo ikiwa ni maandalizi ya fainali za michuano ya AFCON 2019 U17 zitakazofanyika nchini mwezi April 2019

Simba, Yanga, KMC, African Lyon na Ruvu Shooting zimekuwa zikitumia viwanja hivyo na kwa maana hiyo timu hizo zitalazimika kutafuta viwanja vingine kwa ajili ya michezo yao ya nyumbani

Fainali za michuano hiyo ya vijana zitaanza April 14 na zitamalizika April 18 2019 Tanzania ikishiriki kama mwenyeji wa mashindano hayo

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
36m ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
14h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
17h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
18h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
20h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’