Kikosi cha Simba kimerejea jijini Dar es salaam mapema leo kwa usafiri wa Ndege wakitokea mkoani Arusha ambapo jana waliilaza African Lyon mabao 3-0 katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara
Jioni Simba itaendelea na mazoezi kwenye uwanja wa Boco Vererans kujiandaa na mchezo dhidi ya Azam Fc
Mchezo huo utapigwa keshokutwa Ijumaa katika uwanja wa Taifa
ADVERTISE HERE