Manara amvalisha Muro uzi wa Simba

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Feb 2019
Manara amvalisha Muro uzi wa Simba

Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Jerry Muro ambaye ni shabiki wa Yanga leo amekabidhiwa jezi ya Simba na Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara kabla ya mchezo dhidi ya African Lyon

Muro amevalishwa jezi hiyo baada ya timu yake (Yanga) kuchezea kichapo cha bao 1-0 kutoka kwa Simba mwishoni mwa wiki

Muro amewahi kuwa Msemaji wa klabu ya Yanga ambapo wakati huo alikuwa ni mshindani kwelikweli wa Manara katika kazi hiyo

Kwa sasa Manara hana mpinzani kwani amemfunika kabisa msemaji wa Yanga Dismas Ten

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
13h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
15h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
16h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
18h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
23h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’