Juuko, Kagere na Okwi kukosa mchezo dhidi ya African Lyon

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
19 Feb 2019
Juuko, Kagere na Okwi kukosa mchezo dhidi ya African Lyon

Kikosi cha Simba leo jioni kinashuka kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid kuikabili African Lyon katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Katika mchezo wa leo Simba itawakosa washambuliaji wake vinara wa mabao Emannuel Okwi na Meddie Kagere ambao wana kadi tatu za njano

Aidha kocha Patrick Aussems amesema Mganda Juuko Murshidi alicheza mchezo dhidi ya Yanga akiwa na majeraha hivyo hatamtumia kwenye mchezo wa leo ili aweze kupona kabisa

Aussems amesema ana kikosi cha wachezaji 20 mkoani Arusha, anatarajiwa kufanya mabadiliko ya baadhi ya wachezaji kwa kuwapumzisha wale waliotumika zaidi

Baada ya mchezo wa leo, Ijumaa ya wiki hii Simba inakabiliwa na mchezo mwingine dhidi ya Azam FC

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
5h ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
17h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
23h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
1d ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’