Simba yajifua uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Feb 2019
Simba yajifua uwanja wa Sheikh Amri Abeid

Kikosi cha Simba leo kimefanya mazoezi ya mwisho katika dimba la Sheikh Amri Abeid mkoani Arusha kujiandaa na mchezo dhidi ya African Lyon utakaopigwa kwenye dimba hilo kesho

Idadi kubwa ya mashabiki walijitokeza uwanjani hupo kushuhudia mazoezi ya mabingwa hao watetezi wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Aidha, kuelekea mchezo huo, Kocha Mkuu wa Simba Patrick Aussems amesema atakifanyia mabadiliko kikosi chake kwa kuwapa nafasi baadhi ya wachezaji ambao hawakucheza mchezo dhidi ya Yanga juzi

Aussems amesema mabadiliko hayo yanalenga kuwapumzisha baadhi ya wachezaji waliotumika zaidi huku pia akipigia hesabu mchezo dhidi ya Azam Fc utakaopigwa Ijumaa, Februari 22 2019

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
Simba kuanza na Pirates nyumbani makundi CAFCL
2h ago
READ MORE β†’
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
Simba uso kwa uso na Berkane, Pirates kundi C
3h ago
READ MORE β†’
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
Simba yatangaza ratiba ya uchaguzi, Wanachama kuanza kuchukua fomu Oktoba 30
3h ago
READ MORE β†’
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
Hakuna rekodi ya zamani ambayo itaishi mbele ya Simba - Ahmed
6h ago
READ MORE β†’
Makundi CAFCL kujulikana leo
Makundi CAFCL kujulikana leo
8h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
12h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
1d ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
1d ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
1d ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
1d ago
READ MORE β†’