Kocha Msaidizi wa Simba Denis Kitambi ameanza rasmi majukumu ya kumsaidia Patrick Aussems akirithi mikoba iliyoachwa na Masudi Djuma
Kitambi yuko na kikosi cha Simba kinachojiandaa na mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara dhidi ya African Lyon utakaopigwa kesho Jumanne katika dimba la Sheikh Amri Abeid, mkoani Arusha
Ujio wake umemaliza miezi mitatu ya Simba ya kutokuwa na Kocha Mdaidizi tangu ilipoachana na Djuma mwezi Oktoba mwaka jana, 2018
ADVERTISE HERE