Simba kucheza mechi tatu ndani ya wiki

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
18 Feb 2019
Simba kucheza mechi tatu ndani ya wiki

Kikosi cha mabingwa wa soka Tanzania Bara Simba kiko mkoani Arusha tangu jana ambapo kesho Februari 19 kitashuka dimba la Sheikh Amri Abeid kuikabili African Lyon kwenye mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara

Kutokana na wingi wa michezo ya viporo, Simba inakabiliwa na changamoto ya ratiba ambapo italazimika kucheza michezo mitatu katika kipindi cha siku saba.

Baada ya kuikabili African Lyon kesho, Simba itakuwa na siku mbili za kujiandaa kabla ya kuikabili Azam Fc katika mchezo utakaopigwa Februari 22

Ikimalizana na Azam Fc, Simba itasafiri kuelekea mkoani Iringa kwa ajili ya mchezo mwingine dhidi ya Lipuli Fc utakaopigwa Februari 26

Bodi ya ligi imesema michezo yote ya viporo itakamilishwa kabla ya kuanza kwa raundi ya 30

Timu zenye viporo vingi ni pamoja na Simba (11), Mtibwa Sugar (4), Azam Fc (4), Yanga (3), Singida United (3) na Mbeya City (3)

ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
Magazeti ya leo Jumatano, Oktoba 28 2026
1h ago
READ MORE β†’
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
Janza atangazwa Mkurugenzi wa ufundi Simba
15h ago
READ MORE β†’
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
Barker hamuhofii yeyote makundi CAFCL
18h ago
READ MORE β†’
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
Fountain Gate wanaandaliwa dozi inayowatosha
19h ago
READ MORE β†’
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
Mkutano Mkuu Simba sasa ni Januari 2027
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
Magazeti ya leo Jumanne, Oktoba 27 2026
1d ago
READ MORE β†’
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
1d ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
1d ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
1d ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
2d ago
READ MORE β†’