Baada ya kuwasili mkoani Arusha mapema leo, kikosi cha Simba jioni kilifanya mazoezi yake ya kwanza mkoani humo
Mazoezi hayo yalikuwa maalum kwa ajili ya kuweka miili sawa baada ya mchezo wa jana dhidi ya Yanga
Simba itachuana na African Lyon keshokutwa Jumanne katika mchezo wa ligi kuu ya Tanzania Bara utakaopigwa dimba la Sheikh Amri Abeid





ADVERTISE HERE