Saa zinazidi kuyoyoma kuelekea mchezo wa watani wa jadi kati ya Simba dhidi ya Yanga utakaopigwa kwenye dimba la Taifa kuanzia saa kumi kamili jioni
Mashabiki wa Simba tayari wameanza kujisogeza uwanjani

ADVERTISE HERE