Mghana mwingine atua Simba, Mavugo hatarini kutemwa

Mwana Msimbazi By Mwana Msimbazi
β€’
28 Nov 2017
Mghana mwingine atua Simba, Mavugo hatarini kutemwa
Wekundu wa Msimbazi, Simba wamemleta beki Mghana, Malik Ismaila wa Tema Youth ambaye pia anakipiga katika timu ya taifa ya chini ya miaka 23.

Beki huyo alitua siku ya Jumamosi kwa ajili ya mazungumzo na Wekundu hao jambo linaloashiria kuna staa mmoja wa kigeni atakwenda na maji siku si nyingi.

Habari za uhakika kutoka ndani ya klabu hiyo zinasema mchezaji huyo mwenye kimo kama cha Juuko Murshid, ana nafasi kubwa ya kusajiliwa kwenye dirisha dogo kuchukua nafasi ya Laudit Mavugo anayekwenda Gor Mahia ya Kenya kwa mkopo.

Ujio wa mchezaji huyo aliyefikia hotelini Kariakoo, unamaanisha Joseph Omog lazima afanye maamuzi magumu kama bado ana msimamo wa kumsajili straika wa Rayon ya Rwanda, Shazir Nahimana.
ADVERTISE HERE

Simba SC Stories

Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
Mechi dhidi ya Fountain Gate yasogezwa mbele kwa siku moja
9h ago
READ MORE β†’
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
Simba kumuongeza Barker mkataba wa muda mrefu
15h ago
READ MORE β†’
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
Simba yaifuata Fountain Gate Manyara
18h ago
READ MORE β†’
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
Hii hapa miamba 16 makundi CAFCL
21h ago
READ MORE β†’
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Highlights; Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
21h ago
READ MORE β†’
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
Magazeti ya leo Jumatatu, Oktoba 26 2026
22h ago
READ MORE β†’
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
FT : Simba 3-0 15 de Agosto, makundi CAFCL kibabe
1d ago
READ MORE β†’
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
Goals : Simba 3-0 15 de Agosto, CAFCL (FT)
1d ago
READ MORE β†’
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
Kikosi : Simba vs 15 de Agosto, CAFCL R2
1d ago
READ MORE β†’
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
Mnyama kutinga makundi CAFCL kwa rekodi dhidi ya 15 de Agosto leo
1d ago
READ MORE β†’